Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Kitengo cha Utafiti wa Kisayansi katika Chuo cha cha Al-Mustafa (S) Tawi la Dar -es- Salam, kimeandaa
Kongamano la Kisayansi kuhusu: Maendeleo katika Ulimwengu wa Kiislamu kati ya changamoto na mkakati.
Mhadhiri: Samahat Sheikh Mulaba Saleh.
Siku ya: Jumamosi; 19/04/2025. Kuanzia: 10 - 12:00 AM.
Katika Ukumbi wa Sala wa Chuo cha Jamiat Al- Mustafa.
Watu wote mnakaribishwa kuhudhuria katika nad'wa hii ya Kisayansi.
Your Comment